iqna

IQNA

Nabii Ibrahim
Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim / 7
Baadhi ya mbinu za elimu ni za kawaida miongoni mwa manabii wa Mwenyezi Mungu na mojawapo ni kuwa na uvumilivu katika kuelimisha watu.
Habari ID: 3477173    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/20

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim / 6
Kila mtu anaweza kufanya makosa au kutenda dhambi, Mwenyezi Mungu kupitia dini, ametoa wito kwa wanadamu kutubu na kutafuta msamaha ili kufidia dhambi na makosa yao.
Habari ID: 3477162    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/19

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim /5
Mbinu mojawapo ya elimu ni kutumia maswali na majibu, Hii njia ambayo inachukua muda na inahitaji juhudi nyingi kumshawishi aliyeandikiwa, ilitumwa na Nabii Ibrahimu (a.s)
Habari ID: 3477150    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/17

Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Kwa kutumia aya za Qur’ani Tukufu, mwanachuoni wa Kiislamu anaeleza jinsi Nabii Ibrahim alivyomtambulisha Mwenyezi Mungu kwa watu wake.
Habari ID: 3476978    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/09

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesisitiza kuwa, jinai za utawala ghasibu wa Israel zitajibiwa na wanamapambano shupavu wa Kipalestina na katu hazibakia hivi hivi bila ya majibu.
Habari ID: 3476625    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/25

Shakhsia Katika Qur’ani /17
TEHRAN (IQNA) – Is’haq alikuwa mtoto wa pili wa Nabii Ibrahim (AS). Is’haq (AS) alikuja kuwa mtume baada ya kaka yake Ismail (AS).
Habari ID: 3476157    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/27

TEHRAN (IQNA)- Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika Ukingo wa Magahribi Jumapili na kupanda juu ya paa la msikiti huo.
Habari ID: 3475064    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/22

TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Palestina amesema askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuhujumu tena Msikiti wa Nabii Ibrahim -Amani ya Mwenyezi Mungu iwe Juu Yake- kwa lengo la Kuyahudisha eneo takatifu la Waislamu.
Habari ID: 3474940    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/17

TEHRAN (IQNA) Kwa mara nyingine, Utawala wa Kizayuni wa Israel unawazuia Waislamu Wapalestina kuingia Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil (Hebron) ulio katika eneo Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kabavu na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474497    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31

TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Jumamosi alisikiliza qiraa ya Qur'ani katika mji wa kale mji wa Ur Kaśdim kaskazini mwa Iraq, eneo ambalo inaaminika alizaliwa Nabii Ibrahim (Abraham) –Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake.
Habari ID: 3473714    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07

TEHRAN (IQNA) - Wakuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel wanazuia katika Msikiti wa Nabii Ibrahim , Amani iwe juu yake, ulioko katika mji wa Al Khalil au Hebron huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3473614    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/02

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Polisi la utawala wa Kizayuni wa Israel Ijumaa liliwazuia Wapalestina kuswali katika Msikiti wa Haram ya Nabii Ibrahim (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake) mjini al Khalil (Hebron) katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472815    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/30